mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mtu wa mpira haongea maneno hayo,acha mapenzi chama ni mchezaji wa daraja la juu sana TanzaniaNaongelea ipi kivipi! Na wakati tangu aliporudi kutoka Berkane, mlimbatiza jina la kiungo konokono!
Na hata hizo assist sijui ndiyo zipi hizo! Au ni kwenye mechi mlijitutumua, na kupata sare? Maana zaidi ya hapo mliishia tu kufungwa.
Ni suala tu la muda. Mtakuja tena kumgeuka siku timu yenu ikifungwa.Mtu wa mpira haongea maneno hayo,acha mapenzi chama ni mchezaji wa daraja la juu sana Tanzania
Kisinda ni bora kuliko chamaUpuuzi mwingine bana😅, huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Uyanga utakutesa wewe babu kizeeSasa mbona kwenye mechi za derby huwa anatolewa dakika ya 60! Tena mashabiki mlikuwa mnamuita kiungo konokono! Mara hii amegeuka na kuwa taste ya NBC Premier League!!
Mashabiki wa simba ni zaidi ya viumbe wasahaulifu.
Mtoa mada kamtaja kisinda au ngada zimekupanda😅Kisinda ni bora kuliko chama
Wa mzungu??Ubaguzi
Angeyathibitisha haya huko alikoshindwa, kumpa sifa kwa timu dhaifu jama Ruvu 😅😅, huo uwezo mbona hatukuona kwa Azma, yanga.Hahaha, mkuu unataka tukutajie timu ambazo chama amecheza na kuonesha ubora au vipi?
Mfano wa hizo timu ni,
Simba v kaizer chiefs
Simba v al ahly
Simba v Yanga
Na zingine nyingi tu.
Kusema chama hajui au overated sijui itakua unataka nini kwa mchezaji lakini kwa chama ukihitaji namba anazo na ukihitaji skills anazo pia.
Mwisho, hata wachezaji wakukwa hawawi bora katika mechi lakini wanakua bora katika msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Derby mbili back to back anatoa assist tena za viwango haswaa unataka afanye kitu gani haswa kwa nafasi yake uwanjani?Sasa mbona kwenye mechi za derby huwa anatolewa dakika ya 60! Tena mashabiki mlikuwa mnamuita kiungo konokono! Mara hii amegeuka na kuwa taste ya NBC Premier League!!
Mashabiki wa simba ni zaidi ya viumbe wasahaulifu.
Ile assist ya unoko alitoa nani?Upuuzi mwingine bana[emoji28], huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Ngada FC mnavituko aisee , hebu acha maneno yako ya kwenye vijiwe vya kawahawa vya karume hapaHakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist..
Ilikuwa mtu unatamani kufuatilia LA LIGA si tu kwa ajili ya matokeo ila burudani ya miguu ya mafundi hao ..
Hata mashabiki wa Barcelona walikuwa wakitazama mechi za hasimu wao Madrid ili kupata ladha za ZIZOU....
The same kwa Madrid fans wakipenda kuntazama UNIESTA ,na MESSI wa Barcelona
Clotous CHAMA anaipa taste NBC primier league...
Uniqueness hizi huwa haziji kila wakati ...Tumseme CHAMA kabla hajachoka, ..hata simba wakiwa ktk kiwango gani, ila CHAMA anawafanya fans wa simba kutua moyo... Lakini pia hadhi ya LIGI inayostahili kurushwa LIVE...
Chama ni mzuri akikutana na timu mbovuHakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.
Mbali na kufunga , kuchezesha, kupiga pass lakini pia walikuwa football artist..
Ilikuwa mtu unatamani kufuatilia LA LIGA si tu kwa ajili ya matokeo ila burudani ya miguu ya mafundi hao ..
Hata mashabiki wa Barcelona walikuwa wakitazama mechi za hasimu wao Madrid ili kupata ladha za ZIZOU....
The same kwa Madrid fans wakipenda kuntazama UNIESTA ,na MESSI wa Barcelona
Clotous CHAMA anaipa taste NBC primier league...
Uniqueness hizi huwa haziji kila wakati ...Tumseme CHAMA kabla hajachoka, ..hata simba wakiwa ktk kiwango gani, ila CHAMA anawafanya fans wa simba kutua moyo... Lakini pia hadhi ya LIGI inayostahili kurushwa LIVE...
Una ubongo usio na akiliNdyo maana chama anacheza caf makundi siyo ile ya waliofeli ya aziza k [emoji91][emoji91][emoji91]
kama Yanga, as vita, kaiza na Al ahlyChama ni mzuri akikutana na timu mbovu
Sasa mjiulize wenyewe kwa nini mlimuita kiungo konokono.Derby mbili back to back anatoa assist tena za viwango haswaa unataka afanye kitu gani haswa kwa nafasi yake uwanjani?
Sasa mbona kwenye mechi za derby huwa anatolewa dakika ya 60! Tena mashabiki mlikuwa mnamuita kiungo konokono! Mara hii amegeuka na kuwa taste ya NBC Premier League!!
Mashabiki wa simba ni zaidi ya viumbe wasahaulifu.
Halafu unakuta mla mihogo anamlinganisha na Aziza ambaye akitaka kupiga chenga hadi akunje bukta na kuuma meno utadhani anaruka miruko ya juu.(highjump)
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mechi na yanga alitoa pasi ya goli Huku amezungukwa na mabeki 3Upuuzi mwingine bana😅, huyu kashindwa kucheza Berkane ndio anafananishwa na Messi au Iniesta??. Punguzeni mihemko ya kipuuzi, amecheza na timu gani bora?. Mechi ya yanga mbona alikuwa mtalii, vipi mechi ya Azam?.
Kwahiyo NBC ni yeye tu ndio anatoa pasi akizungukwa na mabeki 3?.Mechi na yanga alitoa pasi ya goli Huku amezungukwa na mabeki 3
Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC wanasumbua sana hapa.Hakuna ubishi kwamba , Zinedine Zidane, Ronaldihno, Iniesta , Messi ni wachezaji waliokuwa na vitu vya ziada.