Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wawepo tu wote,hatutaki visingizioSimba imeshuka uwanja wa ndege ikiwa na mchezaji Triple C ambaye ilidaiwa kuwa na ugomvi na kocha wake Pablo, hata hivyo cha ajabu na cha kushangaza Chama alikuwa ameficha uso asionekane, lakini mitembeo yake iliwafanya watu wambaini mapema, sijajua alikuwa anajificha kwa lengo lipi.
Simba wamebainj gemu na yanga nusu fainali ngumu sana, inabidi Chama awepo tu, na kuna uwezekano hata Morrison akapelekwa huko.
Hatuna shida na Mpole. Tunamuachia afunge magoli 2 halafu muanze kumpa mtu mpaka kona awe anapiga yeye.Kuna mtu anaitwa George Mpole huko GGM wameona wasije kuzidisha aibu
Hatuna shida na Mpole tutashinda 3 kwa 2 hizo mbili zote za GGM ataweka mwanetu George MpoleKuna mtu anaitwa George Mpole huko GGM wameona wasije kuzidisha aibu
Umekubali kwamba Mpole ni zaidi ya huyo Mayele? Basi ,usiwe na shaka Tutamwachia mpole apige goli zake 2 huku simba ikishinda 4 kwa 2 ili muandamane kwenda lkulu kwa mama kuuliza kwanini mpole awe kinara wa ufungaji badala ya mayeleKuna mtu anaitwa George Mpole huko GGM wameona wasije kuzidisha aibu