Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
changia basi kidogoSiti ya mbele
changia basi kidogo
Umenifurahisha sana ..Mdau...changia basi kidogo
Ile Fulham wafanyekazi kabaki EPlFulham wanakakikosi kazuri kila eneo huwezi kuwa na Jean Marc Serri, schulle, sesegnon, na vipaji vingine then uwe namba 20.... Anachonifurahishaga Ranieri, The man anajua mno kusajili bila kutumia pesa ndefu sana
Nadhani ndie kocha anayeongoza kwa kufukuzwa ulayaranieri hana lolote atawashusha daraja