Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Tapeli Jack Pemba, alipowasili nchini Uingerereza mwanzoni mwa miaka ya 2000, alibahatika kukutana na Binti kigoli aitwaye Victoria Chaplin, binti Victoria alimtambulisha nyumbani kwao na alipokelewa kwa mikono miwili na familia.
Kutokana na upendo wa Victoria, baadae wakafunga ndoa mwaka 2003 na hili lilimuwezesha Jack Pemba kupata uraia wa UK.
Alipoanza kuzoea Jiji la London akaanza kujichanganya na watu maarufu hasa wachezaji wa mpira na kuwaambia yeye ni mfanyabiashara wa madini lakini ilikuwa ngumu kuaminika kwa sababu hakuwa na mwonekano Kama tycoon anayejishughulisha na biashara ya madini na hakuwa na ushahidi wa kuonesha madini hayo licha ya kudai.
"Nikirudi katika safari zangu za Afrika nitakuja na madini ya kutosha."
Jack alikuja kuanza kuitolea macho nyumba ya familia ya akina Chaplin na akaja na plan nyingine kwa kumrubuni na kutembea kingono na mama mkwe wake aliyekuwa chapombe auze nyumba watimkie Las Vegas wakaoane na waishi huko.
Kumbuka wakati huo baba yake Victoria alikuwa mgonjwa anayeugulia nyumbani na mama yake victoria alikuwa ndiye kiongozi wa familia lakini chapombe kweli kweli.
Baada ya mama mkwe wake ku sign karatasi za mauzo ya nyumba kwa siri, Jack alimrubuni tena mama mkwe wake cha pombe na pesa ikawa chini yake.
Nyumba iliuzwa kwa £1.2 million (piga hesabu kwa rate yetu, Tshs utajua ni shilling ngapi).
Baada ya utapeli huo, alitimkia Dubai, baadae Kampala na Dar es Salaam. Kuna kipindi Jack alikuwa na safari A Kampala to Dar na kudai anatokea UK, huu ulikuwa ni uongo kwani police wa London walikuwa wanamtafuta na kilichosaidia case ilikuwa sio Kali sana kwake lakini they wanted him.
Kama unakumbuka, Kuna kipindi Jack aliwahi kuwa na mahusiano na ma slay queens wa kipindi hicho bongo Kama akina Aunt Ezekiel.
Jamaa ana mke na watoto watatu UK, ambao ni Jack Junior, Gracie and Tia kutokana na ndoa yake na Victoria Chaplin. Aliiacha familia homeless UK.
Jack Pemba anapenda sana life style ya Uganda na anafurahia sana maisha ya Kampala kuliko mji wowote Afrika.
Japo anajitabainisha Kama mwekezaji kwenye mambo ya kampuni ya ulinzi, michezo, mambo ya fashion na uwekezaji kwenye zao la kahawa, huyu jamaa ni tapeli la kimataifa, kaliza na anaendelea kuliza wengi sana hasa Dubai.
Sema jamaa kafaidi na anafaidi sana slay queens wa Uganda, kwa wale tuliwahi kusoma au kuishi Uganda mnafahamu totoz za Uganda zinavyotupenda watz, tena ndio ubahatike toto zuri kutoka Mbarara ni 🔥.Kamapal Kuna toto nzuri nyie.
Ukipata safari ya kwenda Uganda, jaribu kutembelea Speke Resort Munyonyo Ile hotel nje ya KLA iliyopembezoni na ziwa Victoria, utakutana na visuuu vya kinyankole, kitusi yaani balaa tupu.
Bahati mbaya police in Dubai are watching him very very closely na muda utathibitisha hili. Huyu gold digger pia yupo kwenye minor watch list of Interpol.
Kwa laana Ile ya kutelekeza watoto na kuiacha familia ya Chaplin homeless, karma will play it's role.
"Fakes it until you makes it’