Cleaning agency

mtoto mpole

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2010
Posts
678
Reaction score
148
Wazima wandugu....nilikua nataman sana kuanzisha kampuni ya usafi...sasa naombeni idea yenu hii kitu inatakiwa kufanyaje...nilikua na wazo la kuisajili...kutafuta ofisi ila sijui mchakato wowote na with 5M naeza kuanza?msaada tafadhali wa mawazo
 
Kusajili kama Company Limited pale office za Brela litakuwa ni jambo la kwanza, naweza kukusaidia kuanzia kuandika barua ya company name search, kuandaa Memorandum of Association yenye objects kama ulivyoainisha,kisha tunalipia usajili na unapata Certificate of Incorporation.Kulipia usajili wa company limited yenye mtaji wa million 10 ni 242,500 (laki mbili na 45 000 round fig).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…