Wadau naomba msaada nataka kufungua company ya clearing and forwarding, kwa mwenye uzoefu naomba, whole process plse na pia naomba kujua vizingiti ambavyo vitafanya nisiweze kufanikiwa au vitakavyo nisaidia kufanikiwa i mean challenges zake, tusaidiane ili tuweze kusaidia hata wadogozetu ambao hawaja ajiliwa bado tafadhali
ahsanten.
ahsanten.