Clearing and forwarding company

eazy900

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
349
Reaction score
124
Wadau naomba msaada nataka kufungua company ya clearing and forwarding, kwa mwenye uzoefu naomba, whole process plse na pia naomba kujua vizingiti ambavyo vitafanya nisiweze kufanikiwa au vitakavyo nisaidia kufanikiwa i mean challenges zake, tusaidiane ili tuweze kusaidia hata wadogozetu ambao hawaja ajiliwa bado tafadhali
ahsanten.
 
Mkuu nakupa heshima zako.Mimi naweza kukusaidia kwenye mchakato mzima kuanzia name search,memorandum and articles of association mpaka pale utapewa certificate of Incorporation na BRELA.We niPM au nipigie simu namba 0769210807 tushauriane
 
Gjuma in order to get it startup,how much is needed <cash> or around figure plz
 
Last edited by a moderator:

Kuna masharti mengi sana siku hizi.Mojawapo ni kufanya na kufaulu mtihani maalumu unaotolewa na TRA pia kuwa umesoma course ya Clearing and Forwading.Vinginevyo ununue kampuni iliyosajiliwa tayari.Cha msingi jitoe uvivu na ufike hapo TRA makao makuu upate details zaidi.
NB: Huu mtihani hautolewi mara kwa mara.Huwa wanatangaza wenyewe TRA.Na kwa taarifa nilizo nazo haujafanyika miaka kama 2.
 
Gjuma in order to get it startup,how much is needed <cash> or around figure plz
Bei za BRELA ndo' hizo hapo kwa viambatanisho,zinatofautiana kulingana na mtaji (nominal share capital).Bei za mihuri ya mawakili na kazi yenyewe ya kudraft Memorandum & Articles ni maelewano
 
Mkuu nakupa heshima zako.Mimi naweza kukusaidia kwenye mchakato mzima kuanzia name search,memorandum and articles of association mpaka pale utapewa certificate of Incorporation na BRELA.We niPM au nipigie simu namba 0769210807 tushauriane

mkuu kwanini usimwage data hapa ili wengine tupate faidika pia au ndio unataka ukapige pesa hapo hapo??
 
ahsante kwa info nimesikia na mimi kwamba sasa hivi wanabana na hawajatoa mtihani for three years now, ila nitaendelea kufatilia maana nimeangalia makampun ya kununua yako bei mbaya sasa watakula mtaji wote wa kuanzia
thanks anyway.
 
Mkuu nakupa heshima zako.Mimi naweza kukusaidia kwenye mchakato mzima kuanzia name search,memorandum and articles of association mpaka pale utapewa certificate of Incorporation na BRELA.We niPM au nipigie simu namba 0769210807 tushauriane

mkuu hio haina tatizo tutawasiliana kwanza nilikua nataka kudeal na hawa TRA hupata hio leseni yao, nimechukua details zako.
 
Mkuu habari? Vipi wameanza kuruhusu kwa watu wa mikoani kuchukua leseni ya hii biashara? Ama bado ni LAZIMA UWE NA OFISI MAENEO YA POSTA TU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…