Clearing and forwarding (freight forwarding)

Movado

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
28
Habari wanajamvii...

Natafuta kampuni ya kununua, kampuni ya clearing and forwarding. Naomba mwenye msaada wowote ani PM

Asante
 
Kuwa makini usiuziwe Kimeo kamanda
QUOTE=Movado;6141070]Habari wanajamvii...

Natafuta kampuni ya kununua, kampuni ya clearing and forwarding. Naomba mwenye msaada wowote ani PM

Asante[/QUOTE]
 
nakutakia mafanikio ukifanikiwa unipe kazi ya kubeba makontena na kusafirisha.
 
Mia mia chief
lakini inabidi uwe mpole sababu sasa hivi hawasajili makampuni mapya so kupata itakusumbua sana na hata ukipata itakua bei. wewe una offer kiasi gani?. kuwa mwangalifu sababu makampuni mengi ya clearing yanadaiwa hela nyingi so jihadhari na kampuni zenye madeni. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…