Clearing and Forwarding service

Mtoa mada nisaidie kwenye hela ya registration inakuwaje unajumuisha kwenye malipo yako wakati tayari nakuwa nishalipia kwenye kodi ya TRA kasoro 20000 yaKibao chs namba?
 
Je niseme kuwa Clearing agents huwa wanaiba kwa kigezo cha registration wakato registration inakuwa ndani ya gharama za TRA?
Mtoa mada nieleweshe tafadhali
 
Watu wasione kama watu wa clearing wanapata pesa ya bure kufatilia utoaji wa mzigo kuna process,mizunguko mwisho wa siku lazima mhusika alipwe agent fee.
 
Vipi kuhusu TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charges zinakuwaje kwa transit?
 
Achana nae kila siku anauliza hilo Swali akipewa jibu harudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…