Mimi nina shida. Nimeagiza IST yangu soon inafika. Naomba kufahamishwa gharama nitakazolipia hadi kupokea gari, nje ya zile za kikokotoo cha TRA kwa sababu hizo nazijua tayari
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
Hapo andaa kama TZS 750,000 ,
Hapo utakuwa umefanikiwa kuiweka gari barabarani,
Na kinachobakia ni gharama za BIMA tu, ambazo hutegema ni bima ipi utaweka.