Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mwamposa hajakosea. Maandamano yanaondoa mungu wa machawa kama yeye. Sijui kama Mwamposa anamjua Mungu. Angemjua, asingefanya huu utapeli anaoufanya kama gwajima na majambazi wengine wa kiroho wanafanya uhalifu kwa jina la Mungu.Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu.
Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu
Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu acha kuniambia neno moja maandamano uondoa utukufu wa watawala labda kwa Mwamposa watalawa ndio miungu yake
Hii inafahamika sana muda mrefu sanaMwamposa ni CONMAN operating for benefit of State and not common citizens.
Hivi chiembe yupo?Mwamposa hajakosea. Maandamano yanaondoa mungu wa machawa kama yeye. Sijui kama Mwamposa anamjua Mungu. Angemjua, asingefanya huu utapeli anaoufanya kama gwajima na majambazi wengine wa kiroho wanafanya uhalifu kwa jina la Mungu.