Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mzee kaongea lugha nyepesi na kaeleweka, sana, hawa ndo walitakiwa mawaziri wakuu sasa, akili kubwa sana hii kamzidi ,Mbowe Mbali sana na vijana wake wakina KasongoMzee Mwandambo bado anaendelea kupiga misumari yake ya moto kabisa!
================
Unahitaji watu sahihi wa kukutoa kwenye hicho kifungo ambapo Tanzania ni Gereza kila MTU yupo kifungoni" ambacho atuna ujanja nacho unafanyaje ili utoke?