Anaibagaza kiaina.Kama haibagaz serikali ya mama huyo hana umuhimu kwa jamii
We jamaa ulipotelea wapi
Nipo bruh, mbn umeadimika chiefWe jamaa ulipotelea wapi
Mi nipo ila kwa sasa napotea potea kutokana na kupata watoto wa 2kNipo bruh, mbn umeadimika chief
Kumbe yupo jf kitamboClemence Mwandambo upo kaka
Yupo mkuu sema anaonekana last seen ni mwezi wa tisa tarehe 11Kumbe yupo jf kitambo