Clement Mzize mtampa lini heshima yake

Clement Mzize mtampa lini heshima yake

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira”

Nawasikia mtaani huko mnasema Mzize anazingua, mara ooh! Mzize hafai. Leo nataka tuongee soka, leo ni mwendo wa ‘Facts after Facts’ nataka baada ya hili andiko heshima ya Mzize ikae mahala pake.

Sasa nisikilizeni.

Mwaka 2019, Clement Mzize was a nobody. Hakuna ambae alikua anamjua. Hapa naongelea miaka minne nyuma kipindi yupo Iringa anapiga kazi yake ya kuendesha boda.

Msimu wa 2020-2021, Mzize akiwa mjini alishiriki mashindano ya Under20 Ligi kuu na kuwa mfungaji bora. Hakubahatisha, aliwatesa sana vijana wenzake.

Msimu wa 2022-2023 Mzize alipandishwa senior team, Yanga ikiwa chini ya Nabi, Mzize alianza kupata nafasi. Alicheza mechi 21, alifunga bao 05, assists 02

Msimu wa 2023-2024, Mzize alicheza mechi 28, alifunga bao 06, assists 07. Alikua na mchango wa GA ( Goals & assists) - 14

Mpaka hapa tunaenda sawa?

Nmesema leo ni ‘facts after facts’ — Asikimbie mtu. Naomba niendelee na mada.

Clement Mzize, msimu huu ulioisha ndio msimu wake bora tangu aanze kucheza ligi kuu. Amechukua kombe la FA, amekua top-scorer FA, amebeba ubingwa wa ligi kuu, amefunga bao nyingi na kutoa assists nyingi kuliko misimu ya nyuma. Je kuna mtu anaipinga hii fact?

Tuendelee…

Clement Mzize mnaesema anazingua, kumbukeni ametoka kuwa top scorer ligi ya under 20, anapandishwa ligi kuu, Coach Nabi anamuamini na kumpa nafasi. Dogo kacheza hadi fainali ya CAF Confederation.. Je alibebwa?

Clement Mzize, baada ya Nabi kuondoka ameendelea kuaminiwa chini ya utawala wa Coach Gamondi

Je Mzize anahonga ili apate namba? Jibu baki nalo.. Chini ya Gamondi, Mzize ndio amekua na msimu bora zaidi.

Mnavyosema Mzize anazingua, Je anazingua sehemu gani? Mkichunguza vizuri Graph ya Mzize tangu anaanza kucheza mpira wa ushindani haijawahi kushuka, kila msimu anapanda.

Je mlitaka Mzize akue kiwango haraka haraka, na kuwa bora kama “Kuku Broiler” ambao wiki tatu mnachinja na kutengeneza “Kuku Roast”?

Je nikisema Mzize ndiye mchezaji kijana wa Kitanzania mwenye thamani kubwa baada ya Feisal Salum mtanikatalia?

Ipo hivi kuna vigezo vya kuitambua thamani halisi ya mcheza soka yeyote. Vigezo hivyo ni;

  • 1 Umri
  • 2 Kipaji ( Potential )
  • 3 Uzoefu wa kimataifa
  • 4 Injury Record
  • 5 Nafasi anayocheza, takwimu zake n.k

Nataka mniambie ni kigezo gani hapo ambacho Mzize kinamkataa?

Kati ya strikers vijana tulionao Tanzania, kwenye ligi yetu ni Mzize pekee ambae kwa msimu ulioisha alikua na takwimu bora. Tumuweke pembeni Waziri Junior.

Mzize sio mchezaji ambae anapata sana injury. Lakini pia Mzize umri wake unamruhusu kukua na kuongezeka thamani zaidi

Kuhusu kipaji Mzize anacho kikubwa bila shaka. Je ni fact ipi hapo inamkataa Mzize? Nani huyo anasemaga Mzize hafai?

Twende kwenye suala la ufundi. Huyu Mzize anacheza nafasi zote za mbele. Winga ya kulia, Kushoto na striker.

Mzize ana mwendo, ana nguvu, anakupa vitu vingi kwenye timu ‘Kimfumo’ Mzize ana technical ability nzuri ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha. Ana uwezo mzuri wa ku’shoot, kupiga headers zenye unyama mwingi.

Mzize ana mwili wa mapambano, ni aina ya mchezaji ambae ni mpambania chama. Atavuja jasho haswaa kwa ajili ya timu.

Nyie mnadhani wazungu wawili, Nabi na Gamondi kumkubali Mzize ni kazi rahisi?

Mnaomkataa Mzize, mnatumia vigezo gani?
#UJUGUHAPA
20240806_133314.jpg
 
Mpira unavyochezwa kila mtu anaona, umeandika namba namba tu za assist na magoli basi ukaona umemchambua Mzize kwa asilimia 100?

Uchambuzi haupo katika mzani mmoja mkuu, bali ulipaswa uje na idadi ya nafasi za wazi alizoshindwa kubadilisha kuwa magoli ili tulinganishe anachopata vs anachokipoteza. Hizo namba ulizoziandika hapo pengine hakustahili kuzipata hizo namba kulingana na idadi ya nafasi alizozipata.

Ndio maana nimetangulia kusema mpira ni mchezo wa wazi, tukiachana na lawama kwa refa kwenye mechi ya Mamelodi, Mzize kachangia kwa kiasi kikubwa Yanga kutocheza nusu fainali ya klabu bingwa kwa tatizo lile lile la kutozitumia nafasi. Na pia mechi dhidi ya Azam Yanga ilipoteza kutokana na Mzize kushindwa kuzitumia nafasi. Unamsifia mtu anayepata 2 kati ya 15 kuwa kajitahidi upo serious kweli?

Msimu huu kwenye mechi za maandalizi tayari kaendeleza swala lile lile, la kupoteza nafasi nyingi mno.
 
Mzize anabadilika kwasasa tena haraka
 
Mzize ana technical ability nzuri ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha. Ana uwezo mzuri wa ku’shoot, kupiga headers zenye unyama mwingi.

Mkuu umeandika utani au upo serious 😳 header zenye unyama ndio zile anazoruka kanyoka kama mstimu wa umeme mipira inapaa juu tu?
 
Mzize ni Galasa....!

Kama mnavyoona inahitajika Maneno Meeengi Kumfafanua Kama alivyofanya mleta mada hapo juu....!

Mchezaji mzuri haitaji Maelezo yoote hayo.....!

Itoshe kusema hili ni Galasa...!
 
Nasubiria maoni ya ephen_ aniambie kati ya Clement Mzize na Joseph Guede, yupi ni mshambuliaji hatari! Na nitafurahi kama atakuja na zile takwimu za kihasibu.
 
Ukweli dogo Mzize ni mshambuliaji mzuri! Na ukilinganisha na alikotokea; kwa kweli anastajili pongezi. Shida yake kubwa ni papara tu na kukosa utulivu anapolitazama lango la mpinzani.

Ila kwa upande wa nguvu na kasi, hakika yuko vizuri.
 
Nasubiria maoni ya ephen_ aniambie kati ya Clement Mzize na Joseph Guede, yupi ni mshambuliaji hatari! Na nitafurahi kama atakuja na zile takwimu za kihasibu.
Mzize ana magoli 5 kati ya mechi 6 CRDB Cup 5 NBC League
Guede wangu alifunga magoli 6 na assist 2 NBC League, dk 1032 kwenye mechi 17 magoli 2 CRDB Mechi 5

Guede ni bora zaidi ya Mzize Yanga walishindwa kumpa nafasi
 
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira”

Nawasikia mtaani huko mnasema Mzize anazingua, mara ooh! Mzize hafai. Leo nataka tuongee soka, leo ni mwendo wa ‘Facts after Facts’ nataka baada ya hili andiko heshima ya Mzize ikae mahala pake.

Sasa nisikilizeni.

Mwaka 2019, Clement Mzize was a nobody. Hakuna ambae alikua anamjua. Hapa naongelea miaka minne nyuma kipindi yupo Iringa anapiga kazi yake ya kuendesha boda.

Msimu wa 2020-2021, Mzize akiwa mjini alishiriki mashindano ya Under20 Ligi kuu na kuwa mfungaji bora. Hakubahatisha, aliwatesa sana vijana wenzake.

Msimu wa 2022-2023 Mzize alipandishwa senior team, Yanga ikiwa chini ya Nabi, Mzize alianza kupata nafasi. Alicheza mechi 21, alifunga bao 05, assists 02

Msimu wa 2023-2024, Mzize alicheza mechi 28, alifunga bao 06, assists 07. Alikua na mchango wa GA ( Goals & assists) - 14

Mpaka hapa tunaenda sawa?

Nmesema leo ni ‘facts after facts’ — Asikimbie mtu. Naomba niendelee na mada.

Clement Mzize, msimu huu ulioisha ndio msimu wake bora tangu aanze kucheza ligi kuu. Amechukua kombe la FA, amekua top-scorer FA, amebeba ubingwa wa ligi kuu, amefunga bao nyingi na kutoa assists nyingi kuliko misimu ya nyuma. Je kuna mtu anaipinga hii fact?

Tuendelee…

Clement Mzize mnaesema anazingua, kumbukeni ametoka kuwa top scorer ligi ya under 20, anapandishwa ligi kuu, Coach Nabi anamuamini na kumpa nafasi. Dogo kacheza hadi fainali ya CAF Confederation.. Je alibebwa?

Clement Mzize, baada ya Nabi kuondoka ameendelea kuaminiwa chini ya utawala wa Coach Gamondi

Je Mzize anahonga ili apate namba? Jibu baki nalo.. Chini ya Gamondi, Mzize ndio amekua na msimu bora zaidi.

Mnavyosema Mzize anazingua, Je anazingua sehemu gani? Mkichunguza vizuri Graph ya Mzize tangu anaanza kucheza mpira wa ushindani haijawahi kushuka, kila msimu anapanda.

Je mlitaka Mzize akue kiwango haraka haraka, na kuwa bora kama “Kuku Broiler” ambao wiki tatu mnachinja na kutengeneza “Kuku Roast”?

Je nikisema Mzize ndiye mchezaji kijana wa Kitanzania mwenye thamani kubwa baada ya Feisal Salum mtanikatalia?

Ipo hivi kuna vigezo vya kuitambua thamani halisi ya mcheza soka yeyote. Vigezo hivyo ni;

  • 1 Umri
  • 2 Kipaji ( Potential )
  • 3 Uzoefu wa kimataifa
  • 4 Injury Record
  • 5 Nafasi anayocheza, takwimu zake n.k

Nataka mniambie ni kigezo gani hapo ambacho Mzize kinamkataa?

Kati ya strikers vijana tulionao Tanzania, kwenye ligi yetu ni Mzize pekee ambae kwa msimu ulioisha alikua na takwimu bora. Tumuweke pembeni Waziri Junior.

Mzize sio mchezaji ambae anapata sana injury. Lakini pia Mzize umri wake unamruhusu kukua na kuongezeka thamani zaidi

Kuhusu kipaji Mzize anacho kikubwa bila shaka. Je ni fact ipi hapo inamkataa Mzize? Nani huyo anasemaga Mzize hafai?

Twende kwenye suala la ufundi. Huyu Mzize anacheza nafasi zote za mbele. Winga ya kulia, Kushoto na striker.

Mzize ana mwendo, ana nguvu, anakupa vitu vingi kwenye timu ‘Kimfumo’ Mzize ana technical ability nzuri ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha. Ana uwezo mzuri wa ku’shoot, kupiga headers zenye unyama mwingi.

Mzize ana mwili wa mapambano, ni aina ya mchezaji ambae ni mpambania chama. Atavuja jasho haswaa kwa ajili ya timu.

Nyie mnadhani wazungu wawili, Nabi na Gamondi kumkubali Mzize ni kazi rahisi?

Mnaomkataa Mzize, mnatumia vigezo gani?
#UJUGUHAPA
Gamond msimu uliopita baada ya mechi ya Melody, waandishi walimuuliza kuhusu Shalulile aliwashangaa sana. Aliwauliza kwa nini wasimuulizie mshambuliaji bora wa Tanzania Mzize ubora wake. Msimu huu kasisitiza mapema tu kuwa Mzize ni mwamba na atacheza sana.
 
Huyu ni Gaudence Mwaikimba.mweupe.
 
Mpira unavyochezwa kila mtu anaona, umeandika namba namba tu za assist na magoli basi ukaona umemchambua Mzize kwa asilimia 100?

Uchambuzi haupo katika mzani mmoja mkuu, bali ulipaswa uje na idadi ya nafasi za wazi alizoshindwa kubadilisha kuwa magoli ili tulinganishe anachopata vs anachokipoteza. Hizo namba ulizoziandika hapo pengine hakustahili kuzipata hizo namba kulingana na idadi ya nafasi alizozipata.

Ndio maana nimetangulia kusema mpira ni mchezo wa wazi, tukiachana na lawama kwa refa kwenye mechi ya Mamelodi, Mzize kachangia kwa kiasi kikubwa Yanga kutocheza nusu fainali ya klabu bingwa kwa tatizo lile lile la kutozitumia nafasi. Na pia mechi dhidi ya Azam Yanga ilipoteza kutokana na Mzize kushindwa kuzitumia nafasi. Unamsifia mtu anayepata 2 kati ya 15 kuwa kajitahidi upo serious kweli?

Msimu huu kwenye mechi za maandalizi tayari kaendeleza swala lile lile, la kupoteza nafasi nyingi mno.
Hakika wewe ni mtu wa mpira
 
Kama unajijua haufahamu soka vizuri usipoteze muda kusoma hili andiko. Tafuta kazi zingine ukafanye. Leo naandika na kumzungumzia Mzize kwa ajili ya “Watu wa mpira”

Nawasikia mtaani huko mnasema Mzize anazingua, mara ooh! Mzize hafai. Leo nataka tuongee soka, leo ni mwendo wa ‘Facts after Facts’ nataka baada ya hili andiko heshima ya Mzize ikae mahala pake.

Sasa nisikilizeni.

Mwaka 2019, Clement Mzize was a nobody. Hakuna ambae alikua anamjua. Hapa naongelea miaka minne nyuma kipindi yupo Iringa anapiga kazi yake ya kuendesha boda.

Msimu wa 2020-2021, Mzize akiwa mjini alishiriki mashindano ya Under20 Ligi kuu na kuwa mfungaji bora. Hakubahatisha, aliwatesa sana vijana wenzake.

Msimu wa 2022-2023 Mzize alipandishwa senior team, Yanga ikiwa chini ya Nabi, Mzize alianza kupata nafasi. Alicheza mechi 21, alifunga bao 05, assists 02

Msimu wa 2023-2024, Mzize alicheza mechi 28, alifunga bao 06, assists 07. Alikua na mchango wa GA ( Goals & assists) - 14

Mpaka hapa tunaenda sawa?

Nmesema leo ni ‘facts after facts’ — Asikimbie mtu. Naomba niendelee na mada.

Clement Mzize, msimu huu ulioisha ndio msimu wake bora tangu aanze kucheza ligi kuu. Amechukua kombe la FA, amekua top-scorer FA, amebeba ubingwa wa ligi kuu, amefunga bao nyingi na kutoa assists nyingi kuliko misimu ya nyuma. Je kuna mtu anaipinga hii fact?

Tuendelee…

Clement Mzize mnaesema anazingua, kumbukeni ametoka kuwa top scorer ligi ya under 20, anapandishwa ligi kuu, Coach Nabi anamuamini na kumpa nafasi. Dogo kacheza hadi fainali ya CAF Confederation.. Je alibebwa?

Clement Mzize, baada ya Nabi kuondoka ameendelea kuaminiwa chini ya utawala wa Coach Gamondi

Je Mzize anahonga ili apate namba? Jibu baki nalo.. Chini ya Gamondi, Mzize ndio amekua na msimu bora zaidi.

Mnavyosema Mzize anazingua, Je anazingua sehemu gani? Mkichunguza vizuri Graph ya Mzize tangu anaanza kucheza mpira wa ushindani haijawahi kushuka, kila msimu anapanda.

Je mlitaka Mzize akue kiwango haraka haraka, na kuwa bora kama “Kuku Broiler” ambao wiki tatu mnachinja na kutengeneza “Kuku Roast”?

Je nikisema Mzize ndiye mchezaji kijana wa Kitanzania mwenye thamani kubwa baada ya Feisal Salum mtanikatalia?

Ipo hivi kuna vigezo vya kuitambua thamani halisi ya mcheza soka yeyote. Vigezo hivyo ni;

  • 1 Umri
  • 2 Kipaji ( Potential )
  • 3 Uzoefu wa kimataifa
  • 4 Injury Record
  • 5 Nafasi anayocheza, takwimu zake n.k

Nataka mniambie ni kigezo gani hapo ambacho Mzize kinamkataa?

Kati ya strikers vijana tulionao Tanzania, kwenye ligi yetu ni Mzize pekee ambae kwa msimu ulioisha alikua na takwimu bora. Tumuweke pembeni Waziri Junior.

Mzize sio mchezaji ambae anapata sana injury. Lakini pia Mzize umri wake unamruhusu kukua na kuongezeka thamani zaidi

Kuhusu kipaji Mzize anacho kikubwa bila shaka. Je ni fact ipi hapo inamkataa Mzize? Nani huyo anasemaga Mzize hafai?

Twende kwenye suala la ufundi. Huyu Mzize anacheza nafasi zote za mbele. Winga ya kulia, Kushoto na striker.

Mzize ana mwendo, ana nguvu, anakupa vitu vingi kwenye timu ‘Kimfumo’ Mzize ana technical ability nzuri ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha. Ana uwezo mzuri wa ku’shoot, kupiga headers zenye unyama mwingi.

Mzize ana mwili wa mapambano, ni aina ya mchezaji ambae ni mpambania chama. Atavuja jasho haswaa kwa ajili ya timu.

Nyie mnadhani wazungu wawili, Nabi na Gamondi kumkubali Mzize ni kazi rahisi?

Mnaomkataa Mzize, mnatumia vigezo gani?
#UJUGUHAPA
Naona Makolo kila siku mnahamisha magoli, mara Magoma, mara usajiri wa wachezaji vijeba vs Gen Z. mara kuboronga kwa tamasha la Wananchi, sasa mnakuja na hili la Mzize.

Mmefeli pa kubwa. Angaikeni na issue zenu. Tukutana tarehe 08-08-2024. 👉Pusi, paka, nyau, miaowoow! 👈 nyie.
 
Back
Top Bottom