fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
leo umeona dukani kwake mzize?Mi naona anatrend sana Climate Aziz,sio clement Mzizee🤣🤣
mzize hajaoa broNadhani watafanya hivyo walio karibu nae Bahati nzuri ameoa huwa ni ngumu kupotezwa na upepo kama umeoa
Huyu kijana ametrend vibaya sana ,sasa inabidi watu walio karibu nae kumjenga kifikra ili asipotee,kwani kama hatosaidiwa na kwa elimu yake ilivyo ndogo atapotea soon
Huyu kijana ametrend vibaya sana ,sasa inabidi watu walio karibu nae kumjenga kifikra ili asipotee,kwani kama hatosaidiwa na kwa elimu yake ilivyo ndogo atapotea