Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 761
The first player to play six straight NBA finals since 1966.....who let tha dog [emoji190] out....King Lebron
Huyu jamaa ni mnyama,kikapu kilichopigwa Leo sio cha kawaida japo kijana Lowry alikuwa anajaribu kuwarudisha mchezoni Toronto kwa uwezo wake WA mirusho ya 3 points ila kina Love,Le Bron Leo wamekichafua Ile,tusubirie kesho kama Golden state wata come back au ndio itakuwa Okc vs Cleveland [emoji459] [emoji459] [emoji459]