Click here.

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,143
Reaction score
948
Salaam Wana jukwaa,
Mie Mwl.John Power nimepangwa shule moja ya sekondari mkoani dodoma sehemu inaitwa MVUMI..kama una info zozote kuhusu mazingira,watu,biashara,maji,umeme n.k naomba ufunguke,
KARIBUNI
 
Mi mwenyeji wa Tanga,wilaya ya LUSHOTO.
 
Jiandae kisaikolojia, maji ya chunvi, usafiri upo maana ni lami tupu pale dom mjini, mboga ni tatizo la problem, gharama ya malaifu iko juu kwa kuwa kuna utitiri wa vyuo na bunge pale dom, vyumba vya kupanga ni 50000 per month au 600000 per annum. Biashara inago kama ukijipanga kuwa mjasiriamali. Omba omba pia uwatengee fungu. Vibaka pia wapo wa kumwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…