Clinic ya magonjwa ya moyo

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
268
Reaction score
59
Habari zenu ndugu! kuna Clinic mpya ya magonjwa ya moyo imefunguliwa pale Ocean road, sea view, karibu na Protea Hotel (court yard), si mbali kutoka Serenda bridge. inaitwa Doctor's Plaza heart clinic. contact ni +255 22 21 25 917 au 0719674616 au 0759674616 email info@doctorsplaza.co.tz

NB: katika clinic hii madaktari wa magonjwa yote bingwa wanapatikana ispokuwa wa meno Dentists na ENT, pia bima za NHIF zinapokelewa hivyo ndugu msiwe na hofu. karibuni sana.
 
.....................................................................................................................................................................
 

Bima ya afya ya NSSF inakubalika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…