Clinic ya meno

Clinic ya meno

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
212
Reaction score
81
Wapendwa,

Kuna ndugu yangu ana tatizo anauliza kliniki bora ya maneno kwa maana ya utaalamu na vifaa vya kisasa. Meno yametoboka lakini baada ya kuyaziba anasikia maumivu zaidi ya pale mwanzo na kichwa kinamuuma sana.

Huduma ya kuziba aliifanya kwenye kliniki moja karibu na Haidery Plaza (jina kapuni).

Anaomba ushauri aende kliniki ipi ambayo hata gharama ni reasonable.
 
Back
Top Bottom