Clinical assistant (kwa mara nyingine na ya mwisho,msaada wenu).

Clinical assistant (kwa mara nyingine na ya mwisho,msaada wenu).

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
Jamani wana Jf kwa aliyekwisha fuatilia thead yangu ya hapo nyuma iliyokuwa imeandikwa kwa kichwa hiki "NAKARIBIA KUFUKUZWA CHUONI NISAIDIENI MWENZENU"
mtu wa Mungu wa humu humu Jf alinisaidia nikalipa ada iliyokuwa imebaki. Sasa bado ya mwaka wa Mwisho yaani second year unaonaoanza mapema mwezi wa tisa. Na hapa sina tumaini la kuipata ada popote.
Msaada kwenu kwa anayewiwa au anaefahamu wapi pa kupata msaada kama huo wa hitaji langu anisaidie.
SHUKURANI KWA ALIYENISAIDIA NA ANAYEPANGA KUNISAIDIA.
Sina lolote wala chochote,namshukuru Mungu kwa kuwa naelekea kumaliza huu mwaka wa kwanza.
Kiasi ni laki 7 yaani 350,000 first semister na 350,000 second semister. Nipo chuo cha serikali ambacho ni Kigoma Clinical Assistant Training Centre.
Mawasiliano yangu ni;
0763631449,
0789958440 au kwa barua pepe
yusuphpk@gmail.com.
Anwani ya chuo ni
Chuo cha Maafisa Tabibu,
S.L.P 548,
KIGOMA.
 
vp nasaka sehemu ya kusoma hiyo.clinical officer!vp hicho n private na nafasi napataje!? pls nahtaj kufahamu i do reaaly needs ndg
 
vp nasaka sehemu ya kusoma hiyo.clinical officer!vp hicho n private na nafasi napataje!? pls nahtaj kufahamu i do reaaly needs ndg

uwe unasoma mpaka mwisho,sijui kama ungeisoma thread yangu ungeuuliza
 
saidia ndugu jaman!! haingii pepon mweny nacho mpaka atoe msaada!!!!
 
Nimesoma mpaka mwisho na nimejaribu kusaka hicho chuo net cjaona taarifa nzuri,nataka nijue kama kina private students fee yao ngapi na how to apply ambayo kwenye maelezo yako hakuna ndg
 
Nimesoma mpaka mwisho na nimejaribu kusaka hicho chuo net cjaona taarifa nzuri,nataka nijue kama kina private students fee yao ngapi na how to apply ambayo kwenye maelezo yako hakuna ndg

bwana hakuna private student hapa,wote huletwa na wizara huwa ni intake ya wanafunzi 40 tu wanaochaguliwa hapa na wizara there is no other means.
 
Back
Top Bottom