Clinical Assistants Upgrading

Clinical Assistants Upgrading

Benson Minja.

Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
11
Reaction score
0
Helow wana'JF...nilikua naomba mawazo yenu juu ya kuendelea na kozi ya Clinical Officer,kwan sasa n nwanafunz kwa ngaz ya cheti( Clinical Assistant), je kuna chuo kinacho pokea ili ni'upgrade!?
Na ni kwa miaka/mwaka mingp??.
Asanteni
 
Unasoma chuo gani? hiyo clinical assistant
 
check website ya wizara ya afya nimeona tangazo la maombi kwa ajil ya upgrading to clinical officer
 
Back
Top Bottom