yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Clinical medicine ni kozi, Clinical ofisa ndo qualification ya clinical medicineHabari wakuu!
Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer).
Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
Asante mkuu. Vipi ni nzuri kusomea? Kwa maana ya wepesi wa kupata ajira.Clinical medicine ni kozi, Clinical ofisa ndo qualification ya clinical medicine
Ndiyo kazi zipo ila kuifaulu ndo kazi re carry ni nyingiAsante mkuu. Vipi ni nzuri kusomea? Kwa maana ya wepesi wa kupata ajira.
Dogo achana nayo....omba optometry, physiotherapy au radiology...Habari wakuu!
Naomba kufahamu kama hizi kozi mbili zina tofauti au ni sawa ( Clinical medicine na Clinical Officer).
Je ni nzuri kusomea kwa level ya Diploma?
Kwa maana ukihitimu hii unaweza kuuga university moja kwa moja?Dogo achana nayo....omba optometry, physiotherapy au radiology...
Lakini kama unataka uwe daktari nenda ukasome kwa bidii uunge University moja kwa moja.
Kwq uwelewq wangu optometry, fiziotherapy na radiology ndio ina siko kwa sasa...Kwa maana ukihitimu hii unaweza kuuga university moja kwa moja?
Asante mkuuKwq uwelewq wangu optometry, fiziotherapy na radiology ndio ina siko kwa sasa...
Lakini kama lengo unataka uwe MD kasome co ila komaa haswa ili uunge degree
Sorry wakuu mm nina degree ya ualimu wa chemia na bios ila nataka nikasome course ya afya diploma je ni ipi nzuri na yenyesoko kwa sasa
Ushapata ajira?Sorry wakuu mm nina degree ya ualimu wa chemia na bios ila nataka nikasome course ya afya diploma je ni ipi nzuri na yenyesoko kwa sasa
Fata huu ushauri, ndo sahihi kabisa Optometry, Radiology, Physiotherapy au hata Diploma ya Dental; clinical medicine currently haina deal, kwa private sehemu ambapo zamani alikuwa anaajiriwa CO sasahivi kuna MD wamejaaDogo achana nayo....omba optometry, physiotherapy au radiology...
Lakini kama unataka uwe daktari nenda ukasome kwa bidii uunge University moja kwa moja.
Awe pia na utayari wa kukaa bush mkumbushe na hilo.CO ndo wanaoongoza kuajiriwa Serikalini kila mwaka, ila Private haina soko. Ukiingia Serikalini mambo sio mabaya.