Clinical medicine

ihagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
250
Reaction score
174
Naomba mnisaidie MTU wa diploma hii mshahara ni kiasi gani
 
Mshahara una tofautiana depending na ulipoajiriwa

Ila hii kazi kama ni mtu wa kupenda sana pesa itakushinda
 
Usifikirie kuajiriwa. Change your mind set, sahiv tz imebadilika. Ukijiajiri is the best aidea
 
680000 basi salary wakikata nadhani unabaki kama na laki 547000
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unakatisha tamaa

Ndio ukweli huo,si umeona serikali inavyodaka kodi nowdays...Sema vipart time ni vingi kwa hawa watu anaweza kuwa na laki sita nyingine kwenye kijiwe cha jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…