B Ba Liz Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 8 Oct 6, 2014 #1 Mimi mwny diploma ya Clinical officer naweza soma bachelor ya physiotherapy?naipenda sana naomba msaada wa mawazo?Asante
Mimi mwny diploma ya Clinical officer naweza soma bachelor ya physiotherapy?naipenda sana naomba msaada wa mawazo?Asante
Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,261 Oct 6, 2014 #2 Sasa kaka kwanini usiulize kwenye vyuo vinavyotoa hiyo shahada? Au hata vyuo huvijui kama vipo?
wilson upunda Member Joined Aug 7, 2014 Posts 51 Reaction score 14 Oct 6, 2014 #3 kasome mental health and rehabilitation itakufaa zaidi pale SEKOMU Tanga vinginevyo utajidanganya tu.
kasome mental health and rehabilitation itakufaa zaidi pale SEKOMU Tanga vinginevyo utajidanganya tu.
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Oct 6, 2014 #4 unaweza hiyo hata mwenye dip ya pharmacy,nursing,maabara anasoma bila shida..!