Clinical officer anaweza kusoma shahada ya Physiotherapy?

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Mimi mwny diploma ya Clinical officer naweza soma bachelor ya physiotherapy?naipenda sana naomba msaada wa mawazo?Asante
 
Sasa kaka kwanini usiulize kwenye vyuo vinavyotoa hiyo shahada? Au hata vyuo huvijui kama vipo?
 
kasome mental health and rehabilitation itakufaa zaidi pale SEKOMU Tanga vinginevyo utajidanganya tu.
 
unaweza hiyo hata mwenye dip ya pharmacy,nursing,maabara anasoma bila shida..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…