Clinical Officer (CO)

Clinical Officer (CO)

Ipi apo braza
Kati ya hizi
.
>Basic Technician Certificate in Clinical Medicine
>Technician Certificate in Clinical Medicine
>Ordinary diploma clinical in medicine
Zote ni kozi 1, ila zinatofautiana kwenye level. Basic ni mwaka wa 1, Technician ni mwaka wa 2, na ordinary diploma ni mwaka wa 3.

Nb, hamna basic lazima usome two yrs ndo inatambulika ambayo ni techncian certfcate in CM.
CO ni cheo sio kozi name, kozi ni CM.
 
Back
Top Bottom