Adjutis Junior
Senior Member
- Mar 1, 2018
- 118
- 23
Ipi apo brazaClinical medicine inaitwa hivyo hivyo mkuu""
Zote ni kozi 1, ila zinatofautiana kwenye level. Basic ni mwaka wa 1, Technician ni mwaka wa 2, na ordinary diploma ni mwaka wa 3.Ipi apo braza
Kati ya hizi
.
>Basic Technician Certificate in Clinical Medicine
>Technician Certificate in Clinical Medicine
>Ordinary diploma clinical in medicine
Ipi apo braza
Kati ya hizi
.
>Basic Technician Certificate in Clinical Medicine
>Technician Certificate in Clinical Medicine
>Ordinary diploma clinical in medicine
ShukraniiOmba ordinary diploma in CM ndo Co
Soma kwanza swala la ajira ni baadae sasa wewe hata kuaply hujaaply unauliza ajira na bila shaka ukihakikishiwa ajira utauliza na je salary ipojeShukranii
Sana braza
Sema ajiraa zake hazizungui
Soma kwanza swala la ajira ni baadae sasa wewe hata kuaply hujaaply unauliza ajira na bila shaka ukihakikishiwa ajira utauliza na je salary ipoje
Inaitwa Clinical MedicineHabari wanaJF
Naomba kuuliza nikitakusoma clinical officer
Ni apply course inayoitwaje ambayo mtu anakuwa CO
Nashukuru
Ahsanten
Ordinary diploma ina Clinical medicineIpi apo braza
Kati ya hizi
.
>Basic Technician Certificate in Clinical Medicine
>Technician Certificate in Clinical Medicine
>Ordinary diploma clinical in medicine
Ipi kati ya hz brazaInaitwa Clinical Medicine
Ordinary diploma ina Clinical medicine
Shukran brazaOooh kumbe ushajibiwa kapambane kijana!
Ipi kati ya hz brazaClinical medici