Clinical Officer- NATAFUTA KAZI

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
Hey wadau!

Mimi ni msichana miaka 27 nipo dar, ni proffesional CLINICAL OFFICER-Graduated in Kenya...wenye hospitali au dispensary kama mnahitaji nipigie au sms-0719 575791

Thanks
 
Appy mkapa foundation

wanaitaji clinical officer wengi but naona wameziondoa kwenye site yao deadline end of this month
 
Kama unaweza nenda Botswana mnahitajika sana nyie wenye fani hizo.
 
Wadau nashukuru sana kwa msaada wa ushauri mwema....APPY MPAKA FOUNDATION..naomba hiyo website yao.....JF MBELE DAIMA
 
Kazi katika sekta ya afya sio za kutafuta bali zenyewe ndo zinatafua watu, nenda wizara ya afya wakakupangie kituo kama kweli unasifa achana na vizahanati uchwara utakufa njaa
 
duh yaani siku hizi bongo hata watu wa medical field wanatafuta kazi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…