Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Hawa huwa wanawatu wao esp wanaojitolea kwao kupata tu chansi ya kujitolea ni ishuHawa jamaa kazi zao utaishia kufanya usaili tu lakini hutokaa uitwe kwenye ajira...... Wanafanyisha watu usaili lakini hawawaiti kwenye ajira.......hawa jamaa huenda interview zao ni kama formality tu
Sasa wangekua wanatangaziana tu ndani kimya kimya kuliko kuleta masihara kwenye mambo ya ajira.Nadhani wanaendesha usaili kama ushahidi tu ili ukaguzi ukipita wapate kujitetea kwamba mchakato wa usaili ulifanyika.Kuna nafasi za Data Officer walifanyisha watu usaili hapa Dar lakini mpaka leo hakuna hata mtu mmoja ninaemfahamu ambae kaitwa kazini.[emoji16] [emoji16] [emoji16] Hawa huwa wanawatu wao esp wanaojitolea kwao kupata tu chansi ya kujitolea ni ishu
Eeh ndo hvyo changamoto sanaSasa wangekua wanatangaziana tu ndani kimya kimya kuliko kuleta masihara kwenye mambo ya ajira.Nadhani wanaendesha usaili kama ushahidi tu ili ukaguzi ukipita wapate kujitetea kwamba mchakato wa usaili ulifanyika.Kuna nafasi za Data Officer walifanyisha watu usaili hapa Dar lakini mpaka leo hakuna hata mtu mmoja ninaemfahamu ambae kaitwa kazini.
Kiukweli wana uhuni mwingi sana na inaonekana pale kuna mambo ya kujuana kwa kiwango cha lami.