KERO Cliniki ya walimu inayoendeshwa na CWT mateso kwa walimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii inajitokeza hapa Morogoro Mjini kwani wale wanaostahili kupata huduma hawapati ni waliochelewa ndio wanaopata huduma. Ni ubabaishaji mtupu, Yani mtu anafika saa 1 asubuhi na kupewa namba lkn hazifuatwi, wahusika chukueni hatua hili zoezi litawachafua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…