Clinton ahusishwa na wizi wa tsh. 700,000/= kwa wanafunzi wa sekondari Mwanza

Clinton ahusishwa na wizi wa tsh. 700,000/= kwa wanafunzi wa sekondari Mwanza

GAMBLE

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
12
Reaction score
6
Ni Mwenyekiti wa vijana tawi la NCCR - MAGEUZI Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza ahusishwa na wizi wa fedha za wanafunzi walipanga kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Inasemekana alikuwa mweka hazina na Afisa habari na mawasiliano ambapo ametumia mwanya huo kuchota fedha hizo

kinasema ameshirikiana na Mwenyekiti wa umoja ulioitwa Mwanza Environmental Union (MEU).

Yeye amekanusha taarifa hizi na kusema "sijachota fedha hizo bali Mwenyekiti wa (MEU) ndiye aliyechota na sasa ananibebesha mzigo huo mimi, ila niko tiari kwenda kwa mahakama kukabiliana na hili na hii ni kutaka kunitengenezea mazingira magumu kipindi hiki cha mitihani na kuchafua taswira kwa watu wanaoniamini, tena hili jambo limekuzwa sana na watu wangu wa karibu wakishirikiana na walimu wangu.

" Wiki iliyopita walitakiwa kurudisha fedha hizo baada ya safari kuhairishwa na hivyo wanafuzi wengine kushindwa kupata fedha zao.
 
Back
Top Bottom