Maasai Chotara
Member
- Mar 6, 2020
- 50
- 103
Hallo Waungwana.
Kwa wale wapenzi wa Colognes, linapokuja jina la Creed Aventus kila Mtu ananyosha mikono juu: namna hii cologne inavyosifika na kupendwa duniani kote. Wengi husema Creed Aventus ni Mchawi kinoma kati ya Wachawi wa Colognes wote waliopata kutokea katika hii dunia.
Nisiongee Mengi. Ila nataka kujua,
Kutokana na hii cologne wengi kushindwa ku afford kuinunua, wengi wamekuwa wakinunua Clones, kwa maana ya baadhi ya makampuni wamejaribu kutengeneza kitu kinachofanana na Creed Cologne.
Zipo products kama Vile Explorer, Sauvage, Vintage, Mancera, na nyinginezo nyingi ambazo zinajaribu kuiga na kutaka kufanana na Creed Aventus.
Je! Ulishawahi kutumia moja ya hizo clones?
Je ni clone ipi inayokuvutia na ambayo ungeweza kupendekeza kwa wengine kutumia?
Sent using [Iphone XS Max]