Aisee, kuna jamaa yuko block jiran ni njian nikiwa napita huwa naiskia njian kwa nje ivi, leo usk nimeenda kumuulizia ni kitu gn Iyo akanambia ni ilo dude mzee( creed aventus), ila yake ni vile vyembamba vi smart collection lkn kanaonekana ni og huwa kananidusturb sn kisaikolojia nikiwa nakatiza anga izo.
Na kuna nyngne nilimskia mshkj iv inawasumbua wengi sn kzn yn jamaa akipita ivi huwa anaacha harufu km dk 15 iv njia nzima inanukia akanambia inaitwa: MALIZIA OUMO iko mixer na issey miyake ivi nishafanya mipango jamaa ananletea kesho mchana ivi, nilishakutana na unyunyu kibao lkn kwa izo wakuu nimejisalimisha aisee,____!
najarib ku upload picha inagoma apa,____duh
Sent using
Jamii Forums mobile app