Closed cheque ya NMB huchukua siku ngapi kulipwa CRDB?

MCHONGANISHI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
372
Reaction score
364
Jamani ndugu zangu naomba mnisaidie katika mimi na wajasiriamali wenzangu tulifanya kazi fulani katika halmashauri ya Meru Arusha na wakati wa malipo tuliwapa account ya kikundi chetu ili watulipe, account hii iko CRDB na hadi leo pesa zilikuwa hazijaingia katika account yetu. Asubuhi nilienda katika ofisi za halmashauri na kweli akinionyesha katika decument zao kuwa wameshawaagiza NMB Bank tangu tarehe 25 mwezi huu wawalipe CRDB kutoka katika account ya halmashauri ili watulipe, na akaniambia itachukua siku kadhaa. Huku wenzangu tayari wakinijia juu wakihisi nimewadhulumu, na mimi pia simuamini huyu mhazini wa halmashauri je hii kitu ni kweli? na kama ni kweli huchukua siku ngapi????? tafadhali naombeni msaada wenu
 
Kichwa cha habari umesema "Check" kwenye habari unasema "wameshawaagiza NMB Bank tangu tarehe 25 mwezi huu wawalipe CRDB kutoka katika account ya halmashauri ili watulipe".

Kama ni check it takes 3 to 5 days working days (usihisabu week ends) from the date you deposited it. Kama ni transfer huwa inachukuwa 24 hours na inabidi wakupe transfer slip. hayo kwa mujibu wa nijuavyo mimi, lakini nadhani humu kuna ma bankers wataokufafanulia zaidi.
 
kwa maelezo niiyopewa ni kuwa list imepelekwa NMB afu NMB watakata hela toka katika account ya halmashauri then watawaandikia cheque CRDB ili wao CRDB watuwekee hela ktk acccount yetu yaaani kwa kweli sielewi elewi na maelezo napewa kijuu juu au ndo tumeshalizwa nini????? Maana duh na wenzangu nawaelezea hawataki kunielewa wanasema nina langu yaani kweli taaabu tupu
 

usipende kubishana bishana tuu .... transaction za cheque especially payments between companies/institution/organizations lazima bank zi confirm kutoka kwa mlipaji na pia confirmation yaweza kuwa written or oral directive, pia mlipaji anaweza kuamua kuandika malipo ya cheque akaenda yeye mwenyewe kwenye bank yake kulipa direct kwa mlipwaji
 

Sasa wewe unaaakili sawasawa kweli? nilichobishana hapo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…