MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Baada ya chama kutupa zawadi ya Christmas wana msimbazi ni wakati wa kumuuliza anataka zawadi gani kutoka kwetu
Je unataka kukaa madale ?
diamond tutamtimua
Je unataka kuwa msemaji wa simba ?
Manara atafute kazi nyingine
Unataka kuwa rais wa simba ?
Utapata usijali
Unataka kuwa rais wa Fifa ?
utakuwa tu wewe sema
unataka kofia ya akilimali ?
nitamvua mwenyewe nikuletee
Unamtaka mke wa mo dewji?
mchukue tu
we chama tuambie unataka nini
hata ukitaka kukaa ikulu jiwe atakupisha tu
Je unataka kukaa madale ?
diamond tutamtimua
Je unataka kuwa msemaji wa simba ?
Manara atafute kazi nyingine
Unataka kuwa rais wa simba ?
Utapata usijali
Unataka kuwa rais wa Fifa ?
utakuwa tu wewe sema
unataka kofia ya akilimali ?
nitamvua mwenyewe nikuletee
Unamtaka mke wa mo dewji?
mchukue tu
we chama tuambie unataka nini
hata ukitaka kukaa ikulu jiwe atakupisha tu