Clouds 360 mbona kama mmeishiwa pumzi baada ya kutoka kifungoni? Wapi Babie Kabaye na Sam Sasali?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu menejimenti ya Clouds Media Group (CMG) kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni?

Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule Channel Ten.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nauliza tu menejimenti ya CMG kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni?

Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Tazama tena Sam ashafika
 
Nauliza tu menejimenti ya Clouds Media Group (CMG) kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni?

Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule Channel Ten.

Maendeleo hayana vyama!
Watu mna muda wa kupoteza
 
Back
Top Bottom