johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tazama tena Sam ashafikaNauliza tu menejimenti ya CMG kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni?
Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Nadhani baada ya kusoma hapa wamemwita!Tazama tena Sam ashafika
Usinichekeshe aiseeNadhani baada ya kusoma hapa wamemwita!
Watu mna muda wa kupotezaNauliza tu menejimenti ya Clouds Media Group (CMG) kwamba hiki kipindi cha Clouds 360 mmeamua kubadilisha watangazaji baada ya kutoka kifungoni?
Mbona hawa watangazaji wapya mliowaleta hawaendani kabisa na swaga za hiki kipindi? Mnatuchosha bhana. Ngoja nirudi Baragumu ya Albert Kilala kule Channel Ten.
Maendeleo hayana vyama!