Itv wanasaidia kuibua changamotoAzam tv na tv zake zote wameamua kuwa machawa, clouds na kipindi cha 360 ndio wamepotea kabisa, chanel ten na tbc ndio tv zao kabsa juko kutwa mapambio kidogo ITV wanaonesha ukomavu wao kwenye uwasilishaji wa habari nyeupe wanasema na vyekundu wanasema.
Hivi mnapataje muda wa kuangalia local channels?Kama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased, basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa wa Clouds asubuhi.
Double Standard Fools!
Tunatafuta habar za nyumbanHivi mnapataje muda wa kuangalia local channels?
Wewe unategemea Al Jazeera akuambie jinsi mvua zilivyoharibu miundombinu dar au kukamatwa kwa Heche?Hivi mnapataje muda wa kuangalia local channels?
Al Jazeera amuoneshe namna bandari ilivyopigwa mnadaWewe unategemea Al Jazeera akuambie jinsi mvua zilivyoharibu miundombinu dar au kukamatwa kwa Heche?
Uchawa unaua taifa.Kama wewe ni Mtanzania wa kutafuta habari ambazo ni balanced na zisizokuwa biased, basi usipoteze muda wako wenye thamani kuangalia hawa wa Clouds asubuhi.
Double Standard Fools!
Mimi nilishaacha siku nyingi kuabgalia na kusikiliza hizo local channels, hawana jipyaAzam tv na tv zake zote wameamua kuwa machawa, clouds na kipindi cha 360 ndio wamepotea kabisa, chanel ten na tbc ndio tv zao kabsa juko kutwa mapambio kidogo ITV wanaonesha ukomavu wao kwenye uwasilishaji wa habari nyeupe wanasema na vyekundu wanasema.