Huyo anayejiita Loveness aka Diva ni mtoto wa Kamanda wa vijana CCCCCCCCCCCM wa mkoa wa Kagera na mfanyi-biashara maarufu Dioniz Malinzi...
Asante Pretty,
Nilishikwa uvivu kumjibu maana inaelekea haelewi hapa tunaongelea nini.Hapa tunaongea na live examples ya kinachojiri huko Clouds ili kama wanaingia humu basi wajirekebishe ... waone kuwa wanayoyaongea hayavutii kivile kama wanavyodhania.
Na ajiite kikamilifu- Loveness Malinzi tuone kama babake atamvumilia upuuzi wake.
Ndo taabu ya kuajiri kwa mfumo wa kufahamianaHuyo anayejiita Loveness aka Diva ni mtoto wa Kamanda wa vijana CCCCCCCCCCCM wa mkoa wa Kagera na mfanyi-biashara maarufu Dioniz Malinzi...
Hafanyi siri kuwa yeye ni binti Malinzi... Aliwahi kuhojiwa na akaelezea vizuri mno baba yake anavyom support katika kazi yake hiyo ambayo ni kama alikuwa anajitolea na baba anampa pocket money etc..... ila sina uhakika kama baba yake anamsikiliza maana.....
WoS mmemwandikia Waziri au Commission ya habari kulalamika..?
cheap labour.Kusaga anataka watu wakuwalipa mshahara kiduchuuu.wamepewa sana maonyo na tcra lakni inaonekana ni vichwa ngumu.huyo diva na power breakfast ndo vipindi unprofessional kabisa.hii radio haina hata mhariri wa vipindi yaani watu wana free style tu na ndo mana kuna ujinga lukuki
Nashangaa na mimisawa, sasa mambo ya yeye sijuwi kaachwa sijuwi vipi yana husu nini hapa?