What happened to the right to protected speech?

Kwani wewe umelazimishwa kumsikiliza jamani? Mi nadhani hakuna mwenye haki ya kudefine "values" na "maadili" ambayo inabidi sote tufuate. Its precisely because of this reality that we have laws of the land which bind us all. Sasa kama amevunja hizo sheria, watu mna haki ya kulalamika. Otherwise, I fully dont agree na hii tabia ya mtu kukaa kwenye comfort zone yake na kuanza ku-impose values na maadili yake on other people. I dont necessarily endorse what she says, alkini I strongly defend her right to say it. Maana watu mkianza kuja hapa mnadefine maadili na values...kesho tutaambiwa kwamba hairuhisiwi kufanya hiki na kile kwa sababu utaharibu maadili ya wengine.

Again, I might not endorse what she says, but lets learn to co-exist. Na kama hatukubaliani na anayoyasema, basi tutafute njia muafaka za kukifuta au kukirekebisha hiki kipindi na wala siyo kuja hapa na kusema kwa fulani anaharibu maadili ya wengine. Its a tough call, but the world has changed big time! and we should be responsive to changes. We live in the world and era of google where no body has a monopoly of truth!

Masanja