Clouds acheni uswahili kwenye issue za msbadiliko ya Simba

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nawasikia hivi sasa niko kwenye gari sina namba yenu,ila acheni kuchochea uswahili uswahili kwenye suala hili.Mnataka watu wajadili nini wakati kila kitu kiko wazi ? Hivi mnajua watu wakiamua kujadili hata kamba ya kiatu inaweza kuchukua miaka hata kumi hawajapata muafaka ? Yanapofanyika maamuzi ninyi mnasema wanachama wakae mezani ni meza ipi hiyo ? Sisi tunataka ushindi tu hayo ya mezani ni yenu huu si mchezo wa bao.Kama kuna mwenye namba ya hawa jamaa awaambie wanachosha sana !
 
Duuhh wamekukwanza kweli leo mkuu, maana hata hujasema kinacho jadiliwa
 
Katika yote waliyojadili Hakuna Hata moja lenye Manufaa na SIMBA?
 
Clouds wanajadili mambo ya Simba huku wakiwa na agenda yao na hawatafanikiwa.M0 atapewa asilimia 51 na sisi wanachama tutanunua asilimia 49. Clouds hawapendi hilo litokee.
 
Clouds wanajadili mambo ya Simba huku wakiwa na agenda yao na hawatafanikiwa.M0 atapewa asilimia 51 na sisi wanachama tutanunua asilimia 49. Clouds hawapendi hilo litokee.
Kwann?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…