NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 Aug 7, 2023 #1 Nawasogezea swali Hilo wananzengo maana Jana Kuna watu walibaki nje na tickets zao baada kutangazwa kuwa uwanja umejaa. Je hao walioingia ni waakina Nani na waliobaki nje ni wakina Nani na Nini kilitokea??
Nawasogezea swali Hilo wananzengo maana Jana Kuna watu walibaki nje na tickets zao baada kutangazwa kuwa uwanja umejaa. Je hao walioingia ni waakina Nani na waliobaki nje ni wakina Nani na Nini kilitokea??
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Aug 7, 2023 #2 Wahuni walivamia zaga,