Tafuta redio ambazo haziongelei mambo ya Kinondoni.
Hapa umemhusisha Mh.Sugu na redio hii kwanini?Nyie ndio watu ambao mnatengenezea watu bifu zisizokuwa na maana,mawingu redio inahusiana vipi na mbunge wa Kinondoni???
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu
kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana
tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita
mwana umetumwa usikilize...???! mi nawashngaa sana mnaolalamikia hi radio ... mbona stations ipo nyingi..??
mwana umetumwa usikilize...???! mi nawashngaa sana mnaolalamikia hi radio ... mbona stations ipo nyingi..??
nyingi ya hizo saloon ni za wenyewe ndo maana wanazipromote mkuu. Na hiyo redio kila mtumishi wake ni ccm, ridhiwani amesambaza kirusi cha ccm kila sekta ya redio hiyowewe siku zote unaandika mawazo kutoka masubirini mwako, relate the two issues utaelewa nilimaanisha nini!
umelazimishwa kuisikiliza?, mbona redio zipo nyingi sana....yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu
kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana
tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita
yani hii station natamani hata sugu angekuwa mbunge wa kinondoni maana angewabomoa, wanaboa na vipindi vyao yaani kila kitu wanajua kiko kinondoni tu!
Wakaanga chipsi wanataja kinondoni
bonge wa power breakfast anaripoti habari za maeneo ya kino
wakitaja maeneo ya starehe wanayajua ya kino tu
saluni nzuri wanajua za kino tu
yard za magari wazijua za kino tu
barabara nzuri waazijua za kino tu
beach nzuri wanazijua za kino tu
kila kitu kinondoni acheni ushamba redio yenu iko country wide badilikeni bana.... Mnaboaaaa sana
tumewachoka sana........ Ndio maana mnapigwa vita
umelazimishwa kuisikiliza?, mbona redio zipo nyingi sana....