Maana ni matangazo mwanzo mwisho mpaka najiuliza kulikua na haja gani ya kuwa na watangazaji watatu, nawapa ushauri wa re brand kipindi chao maaa kina booooooa saaaana.
Tanzania
Tanzania Broadcasting Corporation TBC
TBC FM
TBC Taifa
Abood Radio
Bongo Radio (Online Radio Station) Clouds FM
Country FM
East Africa Radio
Ebony FM
HHC Alive Radio (Christian Radio)
Info Radio
Kwa Neema FM
Living Water FM
Magic FM
Mambo Jambo FM
Mbeya Highlands FM
Pride FM Radio
Radio Free Africa
Radio Imaan (Islamic Radio)
Radio Maria
Radio One
Radio Safina (Christian Radio)
Times FM
WAPO Rado
clouds enz ya kina masoud,amina chifupa,gadnar,fina walikuwa na creativity kias kwamba hata walikuwa wakiweka matangazo utawasikiliza 2..hawa wa sasa cjui nn kinakosekana lkn nampenda dahuuu ana element za kina fina . japo ye mswahil she's creative kwny leo tena.
Ukisikia pengo halizibiki basi ndio kama unavyoona. Kuna mtu wa kuitwa Gadna G tangu aondoke kile kipindi kimekufa kabisa kama vipi wampigie magoti arudi.
Sasa kipindi kinaboa sana, shida ni watu wanaoendesha hawana mvuto matangazo ni kawaida...nimeacha kusikikiza siku sana.....Likuda sijui simuelewagi kabisa.
binafsi kinachonikera ni watu kupiga story mfululizo hamna music wala nini unatoka kazin umechoka ni watu wanapiga story kama wako kijiwen sometime tena wanaongea ujinga tu haraka nahamisha naenda kumsikiliza jimmy kabwe! analeta mada na anachanganya na music watu tumetoka job we need a little relaxing pia!!!! sielew kwa nini kipind cha africa bambataaa kiliondolewa to me kilikua muafaka sana kwa mida ya jion tukiwa tunatoka kazin!!!!
Clouds ni Redio ya kijanja na inayoenda na kasi ya sasa ya kidunia,vipindi vyao vingi vimekosa watu kama wale walioondoka ndio tatizo na kubadili vipindi na muda wa vipindi kuna baadhi ya vipindi vile vya zamani wangevirudisha na baadhi ya watangazaji wangewarudisha,nawamis sana,Kipanya,Fina Mango,Gadna, Amina Chifupa r.i.p