Clouds fm kuangaza live mechi ya simba na As vita.

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
2,244
Reaction score
5,500
Kituo namba moja kwa burudani tz clouds FM kesho jumamosi kitarusha live mchezo kati ya simba na As vita ya kongo.

Ni kwa mara ya kwanza kituo hiki kurusha moja kwa moja matangazo ya mpira wa miguu.
Pia hali itakuwa hivyo hivyo kwa kituo washirika Choice FM.

Source: power breakfast.
 
Hii misimamo naona ni ya kaimu Mkuu wa vipindi (sub ya Rugemalila[emoji1787][emoji16]) haijawai tokea

Dumelang
 
Kila la heri As vita club

Yaaani Simba wameona hali ngumu mpaka wakahonga clouds wawatangazie hii mechi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasemaje Acheni kufosi kiki wakati hamna bando

Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
 
Daah we jamaa utakuwa mchawi Umejuaje wamehonga?? Ila sikushangai hata Zahera alisema Simba anahonga ili Yanga wafungwe na yeye akahongwa akafungwa ni suala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…