Clouds FM: Match ya Yanga na Lipuli mnajikanyaga nini wakati ni wazi Yanga SC amebebwa

Clouds FM: Match ya Yanga na Lipuli mnajikanyaga nini wakati ni wazi Yanga SC amebebwa

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nawashangaa Clouds mnashindwa kusema ukweli wakati ni wazi Yanga wamebebwa kabisa. Goli si halali, kadi nyekundu si halali, mchezaji kabigwa kipepsi halafu yeye ndiye anapewa kadi nyekundu.

Huu ni uonevu mkubwa, chezeni mpira acheni visa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wakumbuke huu si wakati wa Malinzi.
 
Yanga jana katia aibu...Yule refa asipofungiwa nahama nchi
 
Mayanja kombinesheni ya okwi na luzio ndio nzuri...labda kwa vitimu vibovu
 
Humu kuna wanazi wa Simba wanasema kutesa kwa zamu.

Sasa Rais na Makamu wote pale TFF ni Simba damu damu. Huyo refa kapata wapi ubavu wa kuibeba Yanga?

Rafu zote alizofanyiwa Tshishimbi ndiyo kuibeba Yanga?
 
Back
Top Bottom