kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Haya ndo madhara ya kuanza kufuatilia mpira ukubwanNawashangaa Clouds mnashindwa kusema ukweli wakati ni wazi Yanga wamebebwa kabisa.Goli si halali,kadi nyekundu si halali,mchezaji kabigwa kipepsi,halafu yeye ndiye anapewa kadi nyekundu,huu ni uonevu mkubwa.Chezeni mpira acheni visa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tshishimbi kwani hakuwepo?
TehTshishimbi kwani hakuwepo?
Sure. Kadi nyekundu haikuwa halali. Uonevu Mkubwa!Yanga jana katia aibu...Yule refa asipofungiwa nahama nchi
Hasidi hakosi sababu, wana anzaga vizuri tuu lkn mwisho kwao ndiyo uwa mbaya. Wataacha kulalamika hadi siku wakikatwa mikia.Lakini si mlisema hii TFF sio ya Malinzi, Yanga isahau kubebwa?
Umefika wapi mkuu? Hama haraka maana ndoto zako hazitatimia.Yanga jana katia aibu...Yule refa asipofungiwa nahama nchi
Uhame nchi una uwezo huo hata nauli ya daladala inakushinda mbumbumbuYanga jana katia aibu...Yule refa asipofungiwa nahama nchi