Kwani siku hizi matomeo ya mpira yanamuwa moderated na Clouds Fm? Wao ni nani kwenye mpira wa Tanzania mpaka usubiri Tangazo lao,?
Shida yenu Simba ni ileile kuamini kuwa mtashinda ligi kwa mechi moja. Mfumo huu wa matumaini ni mzuri sana hasa kama mtakuwa mnaupeleka mahospitalini ili kutoa tumaini kwa wale wagongwa wasio na matumaini. Mwambieni Bro. Chigwa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]