Labda itabidi wajifunze kutokana na malalamiko ya wasikilizaji!Wamechemka sana hawa jamaa.
Kama ni likizo si wangefunga na vipindi vyote ieleweke watangazaji wapo likizo.
Kuliko kututangazia vipindi half half inakuwa sio vizuri kabisa mna tuboa wasikilizaji.
Acha zako wewe
Hawa Cloud's wapo likizo mwanawane mpaka mwakani tarehe za Mwanzoni.
Kuwa Mpole mambo mazuri wanakuja ndani ya Clouds. Ni radio station nzuri in Town
the way i know ni kuwa wamekwenda likizo mpaka mwanzoni mwa mwaka kesho!!!
miaka yote huwa wanafanya hivyo.
Labda itabidi wajifunze kutokana na malalamiko ya wasikilizaji!
Mkuu usikariri!!!!...acha tu wasiwe hewani, hata mpaka mwakani 🙁, ...Power breakfast ilikuwa highly rated enzi za Masoud Kipanya, Fina Mango, na huyo Gerrard Hando, sio sasa.
Ingekuwaje kama Hospitali,polisi,masoko,bar etal nao wakienda likizo?
Tatizo letu hapa mkuu ni kwanini baadhi ya vipindi tu ndivyo havirushwi hewani??au unataka kutuambia kuwa hivyo vipindi visivyorushwa ndivyo tu watangazaji na waandaaji wake wamekwenda retreet???na hao wasiokwenda hiyo retreet hawapangi mambo ya mwaka unaofuatia au hao wenzao ndio wanawapangia???au imekaaje hii???lakini huu ni utaratibu wao wa kila mwisho wa mwaka, wanakwenda retreet, si likizo kama likizo za kawaida, wanakuwa na retreet ya pamoja wafanyakazi wote kwa ajili ya kupanga mambo ya mwaka unaofuatia
Kuna baadhi ya fani huwezi kwenda likizo....
Acha zako wewe
Hawa Cloud's wapo likizo mwanawane mpaka mwakani tarehe za Mwanzoni.
Kuwa Mpole mambo mazuri wanakuja ndani ya Clouds. Ni radio station nzuri in Town
He!!!!! Kama ma jaji wetu?the way i know ni kuwa wamekwenda likizo mpaka mwanzoni mwa mwaka kesho!!!
miaka yote huwa wanafanya hivyo.
Wamechemka sana hawa jamaa.