Clouds FM; mbona hivyo?

Kimsingi mapumziko ni muhimu lakini inapokuja kwa swala kama hili la radio I think its better wakawa na planning nzuri. Vipindi vyao hasa pb vinahusu current issues.Wanapokuwa na likizo ya namna hii tunakosa mengi!
 
naskia zain tigo na ttcl na voda wanaenda likizo mwezi mzima hamna simu
 
Tatizo kubwa ni kuwa hawatoi hata sababu za kipindi husika kutokuwa hewani.
 

Nadhani wamesimamisha vipindi vile vyenye habari na maeneleo ya aina nyingine, wanaendelea na vipindi vilivyojaa muziki labda na mambo ya michezo. karibu wafanyakazi wote wapo kwente hiyo retreat. lakini kwa sababu raduio haijafungwa kabisa, lazima wawepo baadhi wa kuhakikisha wasikilizaji wanaisikia kile kinachorushwa
 
...acha tu wasiwe hewani, hata mpaka mwakani 🙁, ...Power breakfast ilikuwa highly rated enzi za Masoud Kipanya, Fina Mango, na huyo Gerrard Hando, sio sasa.

Hiyo ni kweli mwana power breakfast ya sasa hakuna kitu.Hivi masoud na fina wameacha kazi clouds au?
 


...ni uhuru wa maoni, haki yako kusoma au kupuuzia, '...i cannot understand it for you' 🙂. Vile vile, Wanaoendesha kipindi cha Power Breakfast ni haki yao kwenda likizo, kama haki za mwajiri, na mwajiriwa zinavyosema. Hilo si jambo la ajabu katika Radio Stations, au hata Television Programmes, kama hawakukuaga au hukusikia wakisema wanasitisha kipindi hilo suala jingine.
 
mi naona wamejisahau kwa sababu wanajua watu wengi wanatune katika redio yao they have tto be careful wasije wakapoteza mwelekeo kwa wasikilizaji
 
Au Mod, Admin na Management ya JF nao wakaenda likizo, nadhani hata hii thread tusingeiona wala kuchangia !!

Kuna baadhi ya fani huwezi kwenda likizo....
Kwa kifupi mawingu wamechemka kwa kwenda likizo redio ni sehemu ambayo huwezi kusema kuanzia leo hakuna taarifa ya habari kisa Janeth Mwenda na Godwin Gondwe wako likizo.....ni kutokujua nini wanafanya mawingu wao wameshamake mkwanja kwenye matamasha ya jirambe basi sasa hivi wanakula raha...
 
mie huwa nasikiliza BBC RADIO 4 na nikitaka mzigi basi WGCI ya CHI TOWN always does it for me
 
Acha zako wewe

Hawa Cloud's wapo likizo mwanawane mpaka mwakani tarehe za Mwanzoni.

Kuwa Mpole mambo mazuri wanakuja ndani ya Clouds. Ni radio station nzuri in Town

Mkuu hii ni hoja ya msingi, ushabiki hapa haujengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…